Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,378
- 80,253
Pole mkuuSina cha kupoteza tena dada ,nishapitia mengi kiasi kujifichaficha siwezi tena maana nahisi nisimulie moyo wangu uwe huru .
Tupambane japo ugonjwa huo bado sijapona nikiziotea lazima mtaa na kijiji chote wajue maana nikilewa lazima nikawasalimie hata waliofiwa miaka miwili nyuma 🤔
Tupambane yote kheri ,karibu dada.
Yeah Doctor wetu, basi napenda najua anachekesha. Anaweza kukwambia anatafuta mtu aliyeko huko, eti kakosa nauli ya kurudi job 😄😄😄😄😄 ili mradi mpasuke mbavu. Niliwaunganisha mnywaji mwenzako huyo 😅😅😅Daktari bingwa huyo, hadithi zake usizitilie maanani😅
Pamoja kakaPole mkuu
Hahah kwamba mimi na dokta tuna haiba zinazofanana🤣🤣🤣Yeah Doctor wetu, basi napenda najua anachekesha. Anaweza kukwambia anatafuta mtu aliyeko huko, eti kakosa nauli ya kurudi job 😄😄😄😄😄 ili mradi mpasuke mbavu. Niliwaunganisha mnywaji mwenzako huyo 😅😅😅
Pole sana, tuko pamoja. Duniani tunapita. Kuna siku za furaha, huzuni ndiyo inafanya iwe dunia kamili. Kosa si kufanya kosa, kosa ni kurudia kosa. Tujitahidi japo ni kama shetani zile karatasi. Wakati unatoa, huoni zikipungua. Mpaka sifuri zinanze kupungua ndiyo unashtuka 😔😔😔😔Sina cha kupoteza tena dada ,nishapitia mengi kiasi kujifichaficha siwezi tena maana nahisi nisimulie moyo wangu uwe huru .
Tupambane japo ugonjwa huo bado sijapona nikiziotea lazima mtaa na kijiji chote wajue maana nikilewa lazima nikawasalimie hata waliofiwa miaka miwili nyuma 🤔
Tupambane yote kheri ,karibu dada.
Kumbe wenzetu mna tv🤔, we Mad Max mbona huku niambia hili?PC nachapa code kikazi clouded based, kwenye TV burdan nahakikisha bundle la mwezi linaenda kwa haki.. jamaa mmoja humu Mzee wa movie anaitwa Intelligent businessman inabidi aungiwe nae 5G..View attachment 3385712
😅😅😅😅 Bora wewe una king'amuzi na hauna TVKumbe wenzetu mna tv🤔, we Mad Max mbona huku niambia hili?
Mzee wetu hajambo?, mpe Salam mwambia mwanae namsalimia na kumwombea kheri Sana.Sina cha kupoteza tena dada ,nishapitia mengi kiasi kujifichaficha siwezi tena maana nahisi nisimulie moyo wangu uwe huru .
Tupambane japo ugonjwa huo bado sijapona nikiziotea lazima mtaa na kijiji chote wajue maana nikilewa lazima nikawasalimie hata waliofiwa miaka miwili nyuma 🤔
Tupambane yote kheri ,karibu dada.
Natumia tekno 734, kupitia website ya opera mini kaka.Mwanangu raisi wetu selfika kimtindo
King'amuzi ndio nini huko daslam?, hebu weka squid game season 3 hapo.😅😅😅😅 Bora wewe una king'amuzi na hauna TV
Kama mimi tu bro ila nilishawahi selfika mara kibao🤔Natumia tekno 734, kupitia website ya opera mini kaka.
Dar es Salaam na mie wapi na wapi, nipo huku kwetu ushirombo mie 😎King'amuzi ndio nini huko daslam?, hebu weka squid game season 3 hapo.
Dah kaka ngoja mwenyekiti wetu akija likizo, nita muazima simu ili ni selfikeKama mimi tu bro ila nilishawahi selfika mara kibao🤔
Dah supu hapo bei rahisi Sana kudadadekiDar es Salaam na mie wapi na wapi, nipo huku kwetu ushirombo mie 😎
Supu ya mupupu ndio napendelea zaidi, karibu sana mkuu 😎Dah supu hapo bei rahisi Sana kudadadeki
Dah ndio maana wana angalia movie yenye resolution ya 1080, sisi hata za mp 4 ni kashesheKishua hao. Milo mitatu uhakika.
Sawa kaka ,zimefika siku nikutumie namba ya shemeji uwe unawasiliana naye direct .Mzee wetu hajambo?, mpe Salam mwambia mwanae namsalimia na kumwombea kheri Sana.
Pamoja sana mkuu, weekend ndio hii..Safi sana bro