Nilikuepo lakin si sanaπNipo poa sana , sijakuona mda mrefu π€
Tupia mkuuNgoja nimalize mapepa nije kukichafua humu maana nina rundo la mapicha picha kama yote
Nzuri kamamaa, yeah tunapishana tu hapa ndani love.Ooh I miss you too mdogo wangu. Za muda mrefu. Tunapishana humu sana. π₯°π₯°π₯°
Ooooh now ni manyuzi ya israel na iran tu kukuona sio rahisi najuaπNilikuepo lakin si sana
Lini umeselfika Poor Brain hata mkono wako, sijawahi uona. Haya maliza paper, uje uingie live π¬π¬π¬Ngoja nimalize mapepa nije kukichafua humu maana nina rundo la mapicha picha kama yote
Yeah huko siwez kuwa kabisaππOoooh now ni manyuzi ya israel na Palestine tu kukuona sio rahisi najuaπ
Madam nakusubiri ujeLini umeselfika Poor Brain hata mkono wako, sijawahi uona. Haya maliza paper, uje uingie live π¬π¬π¬
Huko kwa mdada mzuri kama wewe labda uwe unavuta bangi na visungura πYeah huko siwez kuwa kabisaππ
Soon mkuu ngoja nimalizane na mapepaTupia mkuu
ππππππ Niliwahi selfika kuna sister angu flan hv akawa ananiponda an mpaka leo ni kuniponda tuu daaah watu wana roho mbaya humuLini umeselfika Poor Brain hata mkono wako, sijawahi uona. Haya maliza paper, uje uingie live π¬π¬π¬
Kwahiyo mimi nayechangia kule, navuta bangi na kunywa visungura eeh? Nakununia πππHuko kwa mdada mzuri kama wewe labda uwe unavuta bangi na visungura π
πππNdio hizo mnaweza nyie tu mim hapana labda nisome tuπππHuko kwa mdada mzuri kama wewe labda uwe unavuta bangi na visungura π
Sijawahi kukuona madam mzuri , utakua unanidanganya kwa sababu hizo nyuzi nazipitia kwa umakini πKwahiyo mimi nayechangia kule, navuta bangi na kunywa visungura eeh? Nakununia πππ
Soma tu usije kuzeeka bureπππNdio hizo mnaweza nyie tu mim hapana labda nisome tuπππ
Nipo sana, habari za kimataifa nazipenda maana nazifatilia sana. Lazima kujua hayo mavita yao yana impact kwenye kushuka na kupanda kwa $, mafuta.Sijawahi kukuona madam mzuri , utakua unanidanganya kwa sababu hizo nyuzi nazipitia kwa umakini π
Mtaje jina πWewe madamu unataka utugeuke hapa .
Huu ulifungwa pia kwa sababu watu walikua wanachambana live live alafu kuna mod alikua anatumia id nyingine hv akiona anaelemewa anaenda kufungia uzi...
Huyo mod hata mi niliwahi gombana nae akanipa ban... ππππππ
Kijana hana adabu huyoKwahiyo mimi nayechangia kule, navuta bangi na kunywa visungura eeh? Nakununia πππ
Mbona mimi mtulivu sanaπKijana hana adabu huyo
Sio kweliπMbona mimi mtulivu sanaπ
Kwa nini masterSio kweliπ