Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,449
- 16,336
Njoo upate soup au macchiato, hapa Tanga beach tajiri .Mambo my
Njoo upate soup au macchiato, hapa Tanga beach tajiri .Mambo my
Oooho. Utaumia 🤣🤣🤣🤣Tulia wewe 😁
Tupia picha maneno mengi sana😁Oooho. Utaumia 🤣🤣🤣🤣
Oooooho! Haya endeleeni🥴🥴Tupia picha maneno mengi sana😁
😆😆😆Oooooho! Haya endeleeni🥴🥴
Nakuja allow me😎Njoo upate soup au macchiato, hapa Tanga beach tajiri .
Upi kweny harusi sio
Ukimaliza yapulizie na rungu ya-shine 😹😹Ah tiba sii kuyaosha na omo na kuyasugua na brush
Hahaa kumbe unavijua vitambaa vyake 😅😅Upi kweny harusi sio
Tunatembeleaga mara moja mojaHahaa kumbe unavijua vitambaa vyake 😅😅
Huku ndo ku socialise nahisiTunatembeleaga mara moja moja
Sure kabisaHuku ndo ku socialise nahisi
Kusosialise kwa kiswahili ni Nini?Huku ndo ku socialise nahisi
Unaniweka mtegoni sio nionekane kijana wa hovyo 😂Kusosialise kwa kiswahili ni Nini
Na-balance life 😊Sure kabisa
Hahahaha,mie kidhungu sijui Sasa nisaidieUnaniweka mtegoni sio nionekane kijana wa hovyo 😂
Hebu ngoja nimuulize Mzee wa Mahanjumati MwachiluwiHahahaha,mie kidhungu sijui Sasa nisaidie
Mwambie social interactionHebu ngoja nimuulize Mzee wa Mahanjumati Mwachiluwi
Bado mmeongea kidhungu, sijaelewaMwambie social interaction
Mwingiliano wa kijamiiBado mmeongea kidhungu, sijaelewa