Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
LoL halafu nakula kuku hapa sasa hiviNakukaangia na makenge ya kuku kabisa
LoL halafu nakula kuku hapa sasa hiviNakukaangia na makenge ya kuku kabisa
Duh vizuri injoy lovelyLoL halafu nakula kuku hapa sasa hivi
halafu❌LoL halafu nakula kuku hapa sasa hivi
injoy❌Duh vizuri injoy lovely
braza ❌Kuna SHIDO braza? 😂
kuna post yako ya 2013 duu ulikuwa unatafuta sijui nini unakumbukaBro Catress 😂😂😂
Una uhakika?halafu❌
alafu ✅
Nakumbuka, upo nijitwalie?kuna post yako ya 2013 duu ulikuwa unatafuta sijui nini unakumbuka
We genius sio alafu, joh yupo sahihi ni halafuhalafu❌
alafu ✅
yeah neno sahihi hapo ni alafu, maneno mengine kama halafu yanatumiwa na baadhi ya watu ila neno ambalo watu wengi wanalitumia ni "alafu" japo yote yana maana mojaUna uhakika?
Brooh Leo uko Naked, nimekuona vizuri sasa.kwa wala mbwa View attachment 3219994
Kijana wa hovyo wa Zamani.





Mkuu kwamba kipimo cha neno kuwa sahihi ni kutumiwa na watu wengi siyo, toka enzi na enzi inajulikana neno sahihi ni "halafu" halafu wewe unasema eti siyo sahihi kisa linatumika na watu wachache, kwani hujui kwamba watanzania wengi huwa wana shida kwenye kuandika hasa kupenda kufupisha manenoyeah neno sahihi hapo ni alafu, maneno mengine kama halafu yanatumiwa na baadhi ya watu ila neno ambalo watu wengi wanalitumia ni "alafu" japo yote yana maana moja
Usitamani mali ambayo sio mali yako, wala mke wa jirani yako wala mjakazi wake. Shika hiyo amri mkuu.mimi moyo wangu upo kwa Bantu Lady tu hata kikiboxer shahidi anajua hilo,
mimi najua nyinyi na Bantu Lady ni marafiki tu mkuuUsitamani mali ambayo sio mali yako, wala mke wa jirani yako wala mjakazi wake. Shika hiyo amri mkuu.
mkuu maneno kwenye lugha ya kiswahili huibuka kutoka kwenye kundi flani kubwa wataalamu wa lugha wanaita "misimu" sasa hii misimu inapokuwa na nguvu na kuwa na watumiaji wengi ndio inaunda lugha halisi inayo tumika.Mkuu kwamba kipimo cha neno kuwa sahihi ni kutumiwa na watu wengi siyo, toka enzi na enzi inajulikana neno sahihi ni "halafu" halafu wewe unasema eti siyo sahihi kisa linatumika na watu wachache, kwani hujui kwamba watanzania wengi huwa wana shida kwenye kuandika hasa kupenda kufupisha maneno
hAtuna kesi za kutakatisha fedhaBrooh Leo uko Naked, nimekuona vizuri sasa.
Hakika nakufahamu. Tchao.!!!
Wee sema kweli, kikiboxer ana habari hii? 😅😅😅😅😅😅Bantu Lady siwezi kuishi bila wewe