kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,918
- 10,461
kwa 'unavojua' tumeanza urafiki lini?mimi najua nyinyi na Bantu Lady ni marafiki tu mkuu
kwa 'unavojua' tumeanza urafiki lini?mimi najua nyinyi na Bantu Lady ni marafiki tu mkuu
Nyie wa V8 hata mkiwa na hizo Case, hamguswi kabisaa.hAtuna kesi za kutakatisha fedha
Halaf saiv uko mwingi balaa uje huku ule bataNyie wa V8 hata mkiwa na hizo Case, hamguswi kabisaa.
Naomba niwekee ulanzi dumla 2 nipite kunywa.
Miss u more luv 🥰🥰🥰🥰🥰 umepotea wewe au mimi ndiyo nimepotea humu. Dah muda sana.Nimekumic mnoo BL.![]()
Mwezi mzima sikuwa Online, nime join juzi tu.Miss u more luvumepotea wewe au mimi ndiyo nimepotea humu. Dah muda sana.



Si utanipa na V8 nikanyage mafuta kidogo?Halaf saiv uko mwingi balaa uje huku ule bata
Ooh okay, ndiyo maana sikukuona humu. Mapumziko ya kutosha, naona mnaifufua Selfika yenu, umemisika nawe pia sana kipenzi cha mimi ❤️Mwezi mzima sikuwa Online, nime join juzi tu.
Nimekumic mnoo luv,![]()
uHakika lazima uipige fimboSi utanipa na V8 nikanyage mafuta kidogo?
Ila ulanzii mtamuu.
JF inachosha siku hizi, hata mzuka wa kujoin haupo.Ooh okay, ndiyo maana sikukuona humu. Mapumziko ya kutosha, naona mnaifufua Selfika yenu, umemisika nawe pia sana kipenzi cha mimi![]()


Hapo sasa ndo penyewe, kunyoosha goti muhimu.uHakika lazima uipige fimbo
Hili kweli luv, iko tofauti na inachosha hasa. Mazoea tu vinginevyo wengi wangepotea kimoja.JF inachosha siku hizi, hata mzuka wa kujoin haupo.
Mazoea ndo yanaturudisha luv.![]()
HahahahaHili kweli luv, iko tofauti na inachosha hasa. Mazoea tu vinginevyo wengi wangepotea kimoja.
Yaan JF imepoteza mvuto kabisa, mambo yako vululu vululu.Hili kweli luv, iko tofauti na inachosha hasa. Mazoea tu vinginevyo wengi wangepotea kimoja.




nyie ni marafiki tu mkuu au utaki nipate ubavu wangukwa 'unavojua' tumeanza urafiki lini?
ndiyo hivyo wewe ndio pumzi yanguWee sema kweli, kikiboxer ana habari hii? 😅😅😅😅😅😅