Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,790
Korosho zipo natengenezaga juice nakunywaKumbe ule ilikuwa ni msosi wa Usiku?
Mchana na usiku lazima ule chakula cha kushiba
Hujui lile tendo la kuleta watoto Duniani, linatuhitaji Wanaume tuwe na nguvu za kutosha
Nachukua korosho au karanga mbichi tende maziwa lita moja na ndizi na brend then si chuji nakunywa hii moja mzuri sana try it