Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,331
Kumbe ule ilikuwa ni msosi wa Usiku?Ahahah mchana ndio unatakiwa kula kushiba
Mchana na usiku lazima ule chakula cha kushiba
Hujui lile tendo la kuleta watoto Duniani, linatuhitaji Wanaume tuwe na nguvu za kutosha