Selfika na JF: Snap it. Show it

Daughters are the best [IMO].

Nevertheless, all kids are special.
 
Niliingia hapo kumtafuta Dr Lizzy lakini nilitoka baada ya dakika 5 maanake kila nikiangalia kushoto kulia naona biinti zangu tu huku wananishangaa huyu babu kapotea njia 🤣🤣🤣🤣
Mimi pia nilidhani ningemuona hiyo Jana, maana kulikuwa na Karaoke

Pamoja na kuvaa miwani ya macho, lakini hata sikubahatika kumuona 🙌
 
Hii breakfast mbona hatushibi Mjukuu 🤗
☕️ ya kuchangamsha kichwa after midnight!😵😵

Alafu nilikuwa nimejaa tele kwenye Karaoke 🎤

Kabla ya hapo nilikua nazunguka zunguka kila mahali...mara jiko la juu, mara la chini, mara counter...ili mradi tu we na RRONDO mnione ila wapi!🤦🏾‍♀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…