Hahaha..........na nilivyo busy Siku hizi kuitafuta pepo, useme macho tu yananiangusha kutaka kuangalia Kila mali safi ipitayo barabarani
Last time nilikimbizwa hospitali Kwa maumivu ya shingo yaliyotokana na kugeuza shingo mara Kwa mara kuangalia hao mabinti wa Mwaka 2000 hapo geti la Mlimani city π