Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,319
Unajua fika jinsi umri wangu ulivyosonga, lakini bado umeamua kunipa habari mbaya Mkuu 🙆🙌Kama unazichakata za watoto wa wenzio.
Kaa tiyari kwa kuchakatiwa tu mkuu.
Haha Iko hivo siku zote
Btw tangu nianze maisha na Bibi yenu Mwaka 47, sijawahi kuchakata zingine 🤗