Kwani nyie ndo watoaji pesa?
Nyie wenyewe huwa mnadangaga pia.
Msituchosheπ
Mtoto wa kiume unafungaje Pm?
Waambie wenzako wafungue Pm.
Mwanaume hana pesa, hana mvuto, kazi ya maana hana,mwanamke wa maana hana.....halafu anafunga Pm
Mtakosa madiliπππ