Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Sema Lamomy yupo ngangariHpa nilipo nasubiri nile nipulize tena😂
Mnawezana
Sema Lamomy yupo ngangariHpa nilipo nasubiri nile nipulize tena😂
Sio toka kile kipindi jf ilivyolikisha the selected students of hall v/ kweli upo mda sana.Mimi nimestaafu,
Yangu 2014 nipo hapa, sasa hivi nguvu sina.
Nikienda piem naweka order tuu za bizaa.
Mwambie Aaliyyah atutengenezee juice ya tende na maziwa.
Muhimu saaana ile
Dadamtu siwezi muangusha kakalakeee!Cheza Kama Pele, fanya asist
Kesho inshallah 😎 tajiri ataselfikaMwambie Boss BL aselfike.....
Nkamu yupo busy na umbea😂😂😂
Hivi nilichokushauri ulifanyia kazi?
Unaona nafanania na kuvuta?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wewe huvuti?
😂😂😂😂😂Nkamu yupo busy na umbea
Labda BMoney nianze naye
Natania tu😂😂Unaona nafanania na kuvuta?😂
Wote tukivuta hali itakuwaje?
😂😂😂😂.hebu tuioneNatania tu😂😂
Alafu hata mm sivuti, basi tu sura yangu ni ngumu mnoo
Sister indeedDadamtu siwezi muangusha kakalakeee!
Chuma kimenyooka hiko hakina mbambambaa kabisa!
Mnywani asinangushe sasa pisi haitaki mlolongo wa salamu
❤️❤️Wananzengo wakishavimbiwa matoke dagaa hawataki juaaaaaaaa!!
Muwe na Usiku mwema wapendwa 😴😴😴💤💤💤💤💤💤
Yani ukiingia unawahi kubana mlango kabla nzi hawajasogeza pua
Ipo siku mtakuwa wazee na nyie mtafaidi mema ya nchi
Si ajitokeze mzee wa kupiga watu marufuku kunikoti jamani ntampa na ntampa tena na tattoo tamchora maana hivi mnanitag tag na kunikoti koti nakuwa km mbuzi wa mjini wasio na mchungaji🙄🙄🙄Haha
Kuna member hua zinawapiga marufuku mpaka kuqotiana.
Kuna Mali ukizimiliki ni presha sana mkuu
😂😂😂kuna mzee jirani ana kazi hiyo video call hadi toilet tabia za nyegere wakati mwenyewe kitombile kila shimo alitakaHahahaha wasiwasi ni akili maana wehu ni wengi apa....
Chombo Kama Kapeace hapana kabisaaa
Naam,
Unambakishia account ya Facebook tuu achati na shangazi zake WA huko buseresere
Inaonekana shamba hawawezi kulilima.Si ajitokeze mzee wa kupiga watu marufuku kunikoti jamani ntampa na ntampa tena na tattoo tamchora maana hivi mnanitag tag na kunikoti koti nakuwa km mbuzi wa mjini wasio na mchungaji🙄🙄🙄
Ndio tabia ya vitombire.😂😂😂kuna mzee jirani ana kazi hiyo video call hadi toilet tabia za nyegere wakati mwenyewe kitombile kila shimo alitaka
Hamna shamba lisilokwatuliwa labda hawajanoa majembe tuInaonekana shamba hawawezi kulilima.
Kilimo chake Cha gharama kama nyanya