Selfika na JF: Snap it. Show it

Tajiriiii
Tajiri wa dunia
Tajiri wa jf
Tajiri wa selfikaa

Mrembo wa Dunia
Mrembo mwenye hela
Mrembo mwenye roho nzuri kama malaika
Siti yake mbinguni ipo

Beauty with money
The one and only Bantu Lady
πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ mrembo wangu Saint Anne umeanza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… haya Amina napokea IJN.
 
πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ mrembo wangu Saint Anne umeanza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… haya Amina napokea IJN.
Bantu mitano tenaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Tajiri kacheka
Tajiri katema mgodi

Naweka vocha hadi Voda wanauliza
Ndugu mteja,niwe wewe kweli?
 
Leo voda wamenitumia meseji ya bando langu la jero kuisha
Hata sina wasiwasi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tajiri alicheka jana hapa meseji ya namna hiii kuja kuipokea ni baada ya wiki kadhaa huko mbele.

Bantu Lady mitano mingine kwakeπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Attachments

  • Screenshot_20241001-081746.jpg
    202.4 KB · Views: 12
🀣🀣🀣Eeh jmn ni Mimi tu ndo napitwa na haya mambo
Ombeni mtapewa
Aombaye hupokea.

Mimi na cocastic tuliomba hapahapa jukwaani
Tunaomba tajiri atuwekee pm ili wahuni wasije wakapita nazo hapa.

Tajiri amenitoa kwenye bando za miatano na bukuπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Da Anne, una kirangaa weyeee, khaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Da Anne, una kirangaa weyeee, khaaah.
Hapa ningeanza kuwaza
Natoa wapi tena jero ya bando.

Ukiingia tu IG lazima bando likate.

Bantu lady ni mtu na nusuπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Hapa aningeanza kuwaza
Natoa wapi tena jero ya bando.

Ukiingia tu IG lazima bando likate.

Bantu lady ni mtu na nusu[emoji91][emoji91][emoji91]
Ni mtu na Robo 3. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Janaa kaniwekeaa vochaa ya mwezii, full kudeveleka machimboziii.

Weuweee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mtu na Robo 3. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Janaa kaniwekeaa vochaa ya mwezii, full kudeveleka machimboziii.

Weuweee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hana maneno mengi
Maneno kidogo vocha kubwaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Hana baya tajiri
 
Ombeni mtapewa
Aombaye hupokea.

Mimi na cocastic tuliomba hapahapa jukwaani
Tunaomba tajiri atuwekee pm ili wahuni wasije wakapita nazo hapa.

Tajiri amenitoa kwenye bando za miatano na buku[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tajiriii anatoaa vochaa kubwaa kubwaa hadi unaogopaaaa.
Tuliombaa hapaa, na Tumewekewaa PM.

Bantu Lady ishii sanaa luv, hunaa bayaaa, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…