Selfika na JF: Snap it. Show it

Hee
Yesu wangu

Lini haya yametokea?πŸ˜‚
Ni id gani hiyo?

Ila watu wana hekahekaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nitumiee mahiii,
 
Saiv wazee nawahama nataka dogo dogo wa kunichangamsha nikikaa hivi nipate sms za micheps? Mara nidanganywe nilie na utu uzima huu basi na akili ichangamke
Utaviweza vijukuu vya Farao lakini??
Katika kitu sitokuja kujaribu kudate na mwanaume niliyemzidi umri aiseee.!! 🀣🀣

Wakinga tuna dharau sasa kimtu kidogo eti kinipande kichwani naweza nikamzabua kofi akanichukia… 😹😹😹
Kuna mwebrania nilimuwashaga kofi halafu nikakimbia mimi, nikaona hapa huyu uvumilivu uko 0.00 ntachapika bure.
 
shem aselfike ila najua shem wangu super tall bana
Thubutuuuu, autoe wapii u tall? Ni kifupii, kina macho makubwaa, hata kwenye Gari hakuweza kushukaa,

Afu hapo unaambiwaa walikua wanaendaga had gym,
, nyiee mie sitakiiii, nimeokokaa.

Woiiiiiiih
 
Hakuwa anaweka settup kuna dem alikuwa anampanga anaongea nao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
uduguu nenda kwa kujilazimishaa.
Yani mimi niliyekuwa nakusisitiza wewe ss hivi nimekengeuka kabisaa.!!
Hawa raia wa maandishi matatu wanatutoa kwenye uwepo wa Mungu 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…