Siku hizi nimekuwa mvivu kwenda church mpk najishangaa.. πππ
Tatizo nikimsoma Kiranga naona ana hoja
Eti min -me mshaanza kuniharibu haki πΉ
Majasiri sana alooo.!
Wengine km wametahiriwa na panga havieleweki π€£π€£π€£π€£
Ila pm raha nyie ukiwa mmbea unabwagiwa mibalaa ya waja kwa raha zako..!
Kuna mmoja ana poumbou km za mbusi kiruuuuu.!! πΉπΉπΉ
Ila umbea naacha rasmi nitapofuka macho bure nishindwe kuweka order za maua ya vijora vyangu..