Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Nadhani anafanya IstanbulSs hivi auntie shopping anafungia dubai hiyo pochi y’a Channel og, shati y’a ZARA kwetuuu rahaaaa.!!
Na shangazi wapambe kapata ashindwe yeye kujimwaya mwaya mwaka huu. 😹😹
Treeeenaah sijui wanaelewa lakini?Auntie alisema kwake ni mwisho reli
Bwana atazunguka weeeh halafu atarudi
Hajaree wala nini.
Shangazi hata alivaa gunia linamkaa..body ya nguo hiyo.
Shangazi kajua kutusua sanaTreeeenaah sijui wanaelewa lakini?
Auntie ni mmoja tyuuu.!! Hiyo watake ndio hawataki ndio 🤣🤣🤣
Ningekuwa mimi ndio shangazi ningewajibu, “Mimi nikikuachia ujue nimemchoka” 👌👌👌yani km sijamchoka bwana humpati na ukikaza fuvu utatumiwa kwa muda kisha bwana atarudiii watu tumeogeshwa buanaaa na tumefundwa tukafundika…!!! 🤣🤣🤣
Nkamu shangazi afanye tupeleke talaka nginjanginja kwanza 😹😹
Au Pariiiii kabisa 🤣🤣🤣Nadhani anafanya Istanbul
Shangazi ni wa kimataifa kitambo 🔥
Auntie bday anapewa bunch ya flowers na dollars 😜Shangazi kajua kutusua sana
Na ile midolari imefungwa kama maua kwenye birthday zake
Hatari sana
Jf nzima inatetemeka
Akimaliza mitano,apewe mitano ✊🏿mingineAuntie bday anapewa bunch ya flowers na dollars 😜
Shangazi yuko juu mawinguni, kweli huu mwaka wetuuu.!!
Kwetuuu rahaaa team shangazi woyeeeeee.!!
Shemeji Sele safiiiii?!!!
Mitano tena kwa shangazi na shem 😂😂😂
Shangazi kwanza anang'aa ngozi utasema anaogea maziwa.Au Pariiiii kabisa 🤣🤣🤣
Sele kaweza, mi shopping ya shangazi anakwea mwewe watu weweeeehh.!!
Shogaangu Kapeace fanya na wewe nikusindikize ukanunue viwalo Pariii basi nna hamu ya kuchafua passport 😹😹😹
Kwanza atulipe bana, ujue shangazi mapozi yamezidi kwa Sele siku mbili tatu hizi sio kwa fagio tulilomfagilia 🤣🤣🤣Akimaliza mitano,apewe mitano ✊🏿mingine
Kama CCM yaani
Shangazi alilia sana,tukamfuta machozi...sasa ni wakati wake wa kujimwayamwaya.
Mimi mafao aambatanishe na vochaKwanza atulipe bana, ujue shangazi mapozi yamezidi kwa Sele siku mbili tatu hizi sio kwa fagio tulilomfagilia 🤣🤣🤣
Auntie nakutumia lipa namba unilipe hata nusu buana weeh 😹😹
Auntie kahama huko maporini kitambo Kwani huna taarifa? 🤣🤣Shangazi kwanza anang'aa ngozi utasema anaogea maziwa.
Hapo yupo mtukula anapigwa na vumbi huko
Imagine angekuwa Dar shangazi angekuwaje.
Shangazi ndio bosslady wa kwanza humu, na kasema vocha tunazo wapambe wake.! 😜Mimi mafao aambatanishe na vocha
Boss ledi hajawahi kufeli
Kwenye vocha alishanipaga za kutosha,Shangazi ndiye mwanzilishi w vocha🔥🔥🔥
Haya mwite
Mafao yetu kwanza,ndipo kazi iendelee.
Mashemela wenyewe wameweka makofuli itabidi tuwaandalie semina aroo wasitufanyie hivyoAu Pariiiii kabisa 🤣🤣🤣
Sele kaweza, mi shopping ya shangazi anakwea mwewe watu weweeeehh.!!
Shogaangu Kapeace fanya na wewe nikusindikize ukanunue viwalo Pariii basi nna hamu ya kuchafua passport 😹😹😹
😂😂😂 Huyo sasa anatafutwa kurogwa wee muache haiwezekani atusumbue 😹Mashemela wenyewe wameweka makofuli itabidi tuwaandalie semina aroo wasitufanyie hivyo
Tena shangazi alivyo na roho nzuriShangazi ndio bosslady wa kwanza humu, na kasema vocha tunazo wapambe wake.! 😜
Shangazi tajiriiiiiiiiiiii wa kwanza na wa mwisho hana mpinzani, km naongea uongo wajitokeze..! 🤣🤣🤣
Mafao muhimu atulipe hata kwa Mpesa mweh tumepambana kumpigania shangazi, mpk hatulali kwa wakati.. mi nilitishiwa talaka moja kisa shangazi kumpigania..! 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ahaaa.! Shangazi kapangishiwa apartment kijichi 😂😂😂
Shangazi bado kununuliwa ist na shem sele na shule nasikia shem kamwambia anampeleka Feza akafundishe watoto wa vibopa 🤣🤣
Sema shangazi Sele akikaa vibaya nampeleka kwa boss wa wananchi 😂😂😂 shangazi kisu buana tumtoe mama krish
Kapeace ndani ya mjengo😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mashemela wenyewe wameweka makofuli itabidi tuwaandalie semina aroo wasitufanyie hivyo
Shangazi mbona sio shida zake we subiri aje uone wapambe wake tunavyooga vocha, shangazi za voda ziwe nyingi nijaze bando tuendelee kukupamba thawaaa.!! 😹😹Tena shangazi alivyo na roho nzuri
Anaweza kuzinwaga vocha hapahapa tunaona🔥🔥
Nadhani hakuna aliyefika level zangu za upambe kwa shangazi enzi hizo.
Mafao kwanza 🔥
Ahh.!! Mbona hiyo kwa shem sele km kumsukuma mlevi umesahau aliwatafutia kazi wale waasi? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mtukula ilikuwa siyo level za shangazi
Punde tu tutasikia mara Shangazi kawa Mkemia mkuu wa serikali.
Bl aje na vocha kwanza tajiriiiiiiiiii toto la kimanga kabarikiwa uzuri mpk utajiriii malkia wa Sheba huyu.!!Kapeace ndani ya mjengo😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tunasubiri Selfie
Na Bantu Lady naye tumemmiss sana jamani
Tubakancie Uzi na selfie zenu🔥