Sasa Nkamu we umekuja kumpambania phase ya mwisho wakati anaelekea ushindini ..
Mwenzio Mimi toka phase one nilikuwa chawa kimbelembele wa shangazi ,wakati huo Sele anajimwayamwaya huko Duniani.
Hivi wewe Uliniambia unapenda urembo hivi unajua kuwa unaweza kufungua kampuni yako ya urembo? Mimi ninakuja kwa kasi na kampuni yangu ya fashion brand π