Jr umemisikaThe passage
The passage
PoleNimekamatika kidogo.. Wale subiri grace period iishe
HahahahahahaHahaha...
Hizo karanga umepata wa kukunyoosha mgongo lakini?
Nijikute tuu jamani!!!Ukikimiss si unajua pa kukipata lakini..
Ila uombe ruhusa kwa mama J kwanza..
Acha ukorofi jamaniKuna mtu nimempumzisha hapo mpka shughuli flani iishe ndio atoke
Naam mkuu






Habari ya muda tena wakuu"" Poleni na mihangaiko ya kusaka tonge ila natumai tupo pamoja""
#MturutumbiView attachment 1282588
Kabisa inahamasisha kutumia vyombo kuupa mwili joto. Hali ya hewa inahamasishaView attachment 1282598
Kaka hicho kitambi ni cha kufutia simu tuu ama?!. Hali ya hewa inahamasishaView attachment 1282598