Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
ππ
Ila shangazi jamani mpk nimechukiwa na waasi kwaajiri yakeβ¦ ππTumempambania sana Shangazi huyo
Sisi ndio majeshi yake ya faraja kipindi amebwagwa
Mualiko tu unaogopa? π
Babu mi naomba nikanunue mwenywe kuku nipike mchemshoπHahaha.........japo Wazee tuna msemo kwamba usimwage mchele palipo na Kuku wengi
Juzi niliposikia utakuwa mgeni wangu, si nikaandaa jogoo kwaajili yako Mjukuu, nimeishia kumnywa supu tu π
Hahaha...........Mwaka 47 niliwahi kupigwa na kitu kizito kupitia njia hiyo...Tatizo labda muamala haisomi.
Wewe tuma muamala just Kwa bahati mbaya... Uone watakavyo jaaaa
π€£π€£π€£Umenishinda tabiaIla shangazi jamani mpk nimechukiwa na waasi kwaajiri yakeβ¦ ππ
Na mimi hii tabia ya kununua kesi ss hivi niache, nshakula ban nyingi kumkingia kifua shangazi.. nilimsaidia mpk kumfukuzia babu miga na mabakuli πΉπΉπΉ
Ila kipindi kile nilikuwa mcharuko km nimetiwa petrol shangazi ilitakiwa anipe NSSF zangu π€£π€£π€£
Sa unaogopa nini??
Ana mapepo huyo πππIla Countrywide πππ
Anafaa kwenda cheka2
Duh kitambo ngoja tumuiteMualiko tu unaogopa? π
Hivi jamaa yangu mulasil yupo wapi aisee
Ngoja tujiandae na kipindi Cha komboa familia Cha buldozer. Tuzidi kujizingiti na dada angu.πππ Basi nimeacha
Jmn nimecheka Leoπ€£π€£π€£utawaniππSa unaogopa nini??
Huyo nimekupaga wote wote mimi narudi utawani πππ
Unapenda kujipa umuhimu wewe nani a download pic mbaya kiatu kimebonyea sijui vile vya tandale saa 11 alfajiri π€£π€£π€£Uliye download picha yangu ulaaniwe sana yaani sana
Kama upo around nipe namba ya Wakala Mjukuu π€Babu mi naomba nikanunue mwenywe kuku nipike mchemshoπ
Kwa hiyo bro, crispy fish fillet ndo hizoo π€£π€£π€£View attachment 3107560
Wameungua lol π π π π
Shangazi km Man City analinda ubingwa wake πππNdio tunamalizia ubuyu hapa tuanze mambo ya maana.
Shangazi alikuwa anabalance mzani kwanza hapa
Shangazi ni namba moja wa wakati wote Kwa shepuπ₯
Kama upo around nipe namba ya Wakala Mjukuu π€
Huyo Mzee mwenzangu ikifika usiku kama hivi anafunga kufuli, pamoja na kwamba tulipita wote jeshini Mwaka 47 amekuwa mwoga kidogo Kwa Wageni πNakuja babu usiondoke nisubiri, hivi hadi ERoni kafunga pm, leo mmenipa kaziii
Anazuga ππEti anajidai hamjui Mkemia wetu
Shangazi anipe NSSF zangu πΉπΉπ€£π€£π€£Umenishinda tabia