Selfika na JF: Snap it. Show it

Weeh Kapeace usintanie em mpe namba shem, sasa kuna umuhimu gani wa kupewa shape km hutaki kutoa namba.!! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tukizikosa pesa za shem ujue ntakununia mfyuuu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nilikuwa nakusubiri mwenyekiti, ndo nini kututelekeza, mi bado naumwa๐Ÿ˜œ
 
Huyu mgonjwa mbona jeuri hivi? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kapeace mpe namba shem hii ni amri sio ombi nakwambia ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Yani unabembelezwa km wafuasi wa CDM wakaandamane kwann lakini?? ๐Ÿคฃ
Nineshatoa mbona, hebu mpeleke taratibu mstaafu wangu mwishowe ajikwae,
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ babu Ntakuchapa ujue
Wewe lete hizo korosho kwanza
Hahaha...........lakini si unajua Babu yako nina ile fimbo, sijaitumia nina muda mrefu ujue? ๐Ÿ˜œ

Mtume mjumbe aje nimpe Korosho zako, ukiwa na nafasi pitia mwenyewe ofisini kwangu ๐Ÿค—
 
Hahaha...........lakini si unajua Babu yako nina ile fimbo, sijaitumia nina muda mrefu ujue? ๐Ÿ˜œ

Mtume mjumbe aje nimpe Korosho zako, ukiwa na nafasi pitia mwenyewe ofisini kwangu ๐Ÿค—
Nitamtuma mdogo angu tayana anifatie korosho babu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mnywani kama mnywani
Sijatoka leo home njoo nikufundishe ile surrat aliyekuambia arsis. Nshashika udhu.
Forever and always mnywanii!!!

Nakujaaa unifunze hio surat mnywanii kuna viumbe vilitaka kunidhuruuu ila vilinikuta sidhuriki ndio nikamuuliza Arsis mnywanii!

Natamani siku nivikamate ila ndoiivooo mi sio wa Mungu sana sio wa mgangaaaa basi imani yangu inahang hang tu ๐Ÿ˜‚!!
 
Leo Lolote BAYA liwakute Makolo kwa wadogo zenyu!

Muwe na Jioni njema wapendwa
Oyooooooo.!!
Uduguu weee.!! Mtoto mlito udongo wa Dubenga ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Nkamu Saint Anne umeona huku auntie anavyowaka!! Haya ita team yako tayari tusharudisha na tumefunga lingine ubao unasoma 2-1 ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Nitamtuma mdogo angu tayana anifatie korosho babu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hahaha............huyo akija lazima anipige maombi kama ya Mwamposa ili niache kuvuta Kiko zangu, maana hataki hata kusikia harufu yake๐Ÿ˜œ
 
Oyooooooo.!!
Uduguu weee.!! Mtoto mlito udongo wa Dubenga ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Nkamu Saint Anne umeona huku auntie anavyowaka!! Haya ita team yako tayari tusharudisha na tumefunga lingine ubao unasoma 2-1 ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Weuweee๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Auntie kawaka na hiyo jezi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Sipatii picha akitupia na ile ya kitenge.

Halafu ngozi yake sasa inang'aa utasema anaogea maziwa.

Pambano bado bichi hili ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Weuweee๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Auntie kawaka na hiyo jezi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Sipatii picha akitupia na ile ya kitenge.

Halafu ngozi yake sasa inang'aa utasema anaogea maziwa.

Pambano bado bichi hili ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Auntie katisha sana, ningeshangaa auntie akubali kuweka silaha chini kirahisi aah subutuuu.!!
Labda sio aunt ninayemjua, shangazi Hana mpinzani bado anatetea ubingwa wake wa selfika ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Auntie tupe nyingine tuwapige 7 ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ