sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Usinikumbushe kaka, kjjn wakati natoka waliniambia hao wote wanangoma. Yaan waotot wachuo wote wanangomasumbai anasinzia sana ndio mana vimwana wa hall 3 walikua wakimpita ntamwakilisha
Wakora waitu mnywani
Yaan, Yule MTU alinikosesha vyombo vya maaana saaana.
Juz Kati nilipita chuo pale nilikuta vitu vya maana nikatamani nirudi kuchomoa sup yangu