Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,299
Kuna nini mrembo? Mbona kama mmedukuliwa...😀😀😀😀Ahsante sana kwa ushauri huu mzuri Mkuu The Monk Nitaufanyia kazi. Ni kweli ukiweka isipokaa muda mrefu inafutika. Niliweka moja nikawahi kufuta, hata walioquote ikafutika kwenye quote zao. Shida naona ikikaa dakika nyingi, itafutika kwako, kwenye quote picha inakutolea macho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Ile picha haina madhara, nimeiziba sana 😅😅😅.
Lamomy anatufurahisha humu ana pacha nkamu wake Saint Anne basi mbavu hatuna kwa maneno yao.
Uwe ma asubuhi njema. Kumekucha...