Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Siku nikiweka kope😂😂😂😂 nouma sana.!!
Mi makeup naiogopa nimenunua ila naishia kuitazama, kope nilikuwa mpenzi ila ss hivi sitaki hata kuziona… sijui nimeanza kukua?!!
Siku hizi had vitenge najifunga eti km mama kitulano 😹😹😹
Nadhani nitakuwa namuona Shumileta usoni kwangu