Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Jiphotoe MamieMi si mpenda picha hani wangu utafanya nianze kujifotoa fotoa
Maisha ni hayahaya
Picha ni kumbukumbu.
Kuna siku utarejea na utafurahia kumbukumbu nzuri
Kama sisi tukirejea picha za kipindi Uzi unaanza ,2019 tunafurahi na kukumbuka stori jinsi tunavyofurahi tulikaa kwa upendo kupiga stori hapa.