Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo sichelewi kuimeza, ujue kuna vitu vina mwenyewe, mi kwenye urembo hela yangu inaishiaga kwenye nywele bhana sio wigs ila misuko napenda sana
Mi mwenyewe siwezagi lazima nilambe
Hata mafuta lazima nilambe.


Hebu tuone picha za misuko😍
Tena kichwa chako kimekaa vzr kusuka
Mafundi wa nywele,kichwa Cha kusuka tunakiona tu 🔥🔥
 
Huyo member jeuri eti anawapa na mbinu za kumuadabisha mtuhumiwa wakati ni yy mwenyewe 😂😂😹

JF watu wamepinda sana.!!
Kuna id ina act humble halafu kwenye nyingine ni fagia fagia hutoamini 😂😂
🤣🤣Walivogundua hawakulia
Hivi huko pm Kuna magroup kabisa ya kusemana mie mbona napwita 🤣🤣
 
Back
Top Bottom