raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,823
- 36,808
Hamna sio kihivyoo 😄Mzee wa papuchi huna baya
Hamna sio kihivyoo 😄Mzee wa papuchi huna baya
Amin amin, waooohKwa mamlaka niliyo pewa kutoka kusini mwa jf nakuambia pumzika ulale unono Mimi kijana kutoka kigamboni nakutakia usiku mwema na nitakusomea Dua kwa mungu akukinge na wachawi wenye husda inshallah 😎
Nimepitwa aisee irudiweMlale sasa
Unalala sana mpk Unapitwa na vitu vikali mzee wa tandam 😂😂😂
We hata mbinguni utapitwaaaNimepitwa aisee irudiwe
😁🤣Zulu man msaada uedit, picha ifutike.
Alafu kuna Lamomy cheupe dawa a.k.a divaaaaaaaaa 😄🔥🔥🔥Unalala sana mpk Unapitwa na vitu vikali mzee wa tandam 😂😂😂
Kesho tujiandae na pic za shangazi ninavyomjua lazima apanic 😂😂😂Kumbe nikifungua Kwa
Aliyekuquote naona
Mnazidi kupika tu rekodi za watu👌🏿👌🏿🔥🔥
Dada mzuri uwiii
Hadi simu imepata nur♥️😍😍😍
Aisee
Huyu Mungu
Nyie ndio mtakuwa wale wa udongo wa VIP hatari🔥🔥🔥🔥
Nisamehe kapeaceUna roho mbaya sana kuliko mwandiko wako
Report tu inafutika tajiri usiogope bodigadi nipo hapaOdo ake kipenzi, naomba uedit ifutike picha 🥰🥰🥰
Leo hata usingizi utakuwa mzuriWote tuseme Amen 🙏
Haya mabinti sayuni tukalale tuwaachie lindo waebrania 😹
Umefanya nikuone malaika wa zamu, sawasawa mkaka mzuri mzuriNisamehe kapeace
Let me find my quote...
Unajua ni vibaya kuwa udhi nyinyi warembo
Mi mwenyewe niko mpwapwa mkuu 😹😹Umejuaje...
Mimi huku uchindile mtandao unazingua kinoma
Picha zinakuja na kiza kiza...
Huko mjini kwema??
Shangazi hajare Wala niniKesho tujiandae na pic za shangazi ninavyomjua lazima apanic 😂😂😂
Nkamu kilabho ✋
kabisaKazi sana
Mi zangu mniwekee pm huu uzi sio mkaaji, au ulidhani nitakuacha hivi hivi🤣🤣Kesho tujiandae na pic za shangazi ninavyomjua lazima apanic 😂😂😂
Nkamu kilabho ✋
😂😂😂 mahi tulale kesho.!Wameisave watapeana huko mafichoni hiyo sio shida yangu, ila kwenye huu uzi itoke, halafu sasa mtu ajichanganye aje aitume kwingine atajua hajui
Yaani rudia kidogo nipunxishe fuvu dadaWe hata mbinguni utapitwaaa