Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,244
Baba yetu uliye MbinguniHaya sasa Nkamu Saint Anne ongoza sala ya usiku tulale 🙏
Jina lako litukuzwe
Ufalme wako uje
Mapenzi yako yatimizwe hapa Duniani,kama yanavyotimizwa huko Mbinguni
Utupe Leo rizki yetu
Utusamehe makosa yetu
Kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea
Usitutie majaribuni
Bali utuokoe na yule muovu
Kwa kuwa ufalme ni wako
Na nguvu na utukufu
Hata milele
Amina.