Pombe inamimina pombe.
Unaniongelesha vingreza umenisomesha?In every general rule there is always an exception



Hizi hazikwendi na bia shee, we piga gambe tu. Ukirudi unakuta wamebeba hadi vijiko.Acha izo shee![]()
We umeshindikana.Sijui kwanini haifunguki...ila kama ni chochote kuhusu pombe kibarikiwe sana
Karibu sana, kuna dogo rafiki yangu kanisumbua sana leo anataka vitumbua tangu asubuhi. Nimetoka job tu akanidaka "adam ataka atuua"
Unaniongelesha vingreza umenisomesha?![]()
Ngoja nifikirie.Nibashikie na mimi





round hii watampigia na deki saaafi kabisa
Hizi hazikwendi na bia shee, we piga gambe tu. Ukirudi unakuta wamebeba hadi vijiko.
Ngoja nifikirie.
round hii watampigia na deki saaafi kabisa





Endelea kusubiri.Nasubiri Jibu
We umeshindikana.
Nishafika marangu. Unakuja lini?
Mkuu unaibiwa hivi hiviHadi sasa umekula mpunga wa mahari na posa ngapi?
Niko njiani.Nipo marangu...njoo hapa himo ule nyama choma
Akija ananza tu kuweka fenicha.
Msalimie huyo dada mwambie kuna baharia hapa nipo single natarajia kumingle
Huyu mzee anakunywa vitu vikaliwe mzee...![]()