[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeniotaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] nimekuota unanipigisha story za uongo na ukweli,, halafu hii siyo mara ya kwanza kukuota eti kuna siku niliota tumepatana kwa treni sema nilishindwa tu kukuambia juu wewe huwa hauniamini.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah nimeona picha kwenye huu Uzi mdada kavaa suruali nyeusi imembana huko nyuma kafungasha pamejaa rutuba amejaaliwa cha ajabu naingia na scroll mwanzo mwisho sioni Hio picha
Wacha bwana!!Ee mungu nisaidie nikamilishe kibanda changu View attachment 1282756
Tuache na kijiwe chetu.
Mwenza ndio nini kupungua hivyo?
Wanyakyusa mna pua zenu fulani hivi amazing.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] aise kuna rafiki yangu umefanana naye pua na mdomo,, ningesema ni yeye ila yeye siyo mzigua ni mnyakyusa..
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]View attachment 1282746
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1282772
Post namba ngapi mkuu hii kitu
Iko poa hiyo mkuu" Mimi nkiona hata mkate mandazi najilaumu kwanini hiyo ngano wasingetengenezea bia[emoji23][emoji23]Nimechomoka tena.. Leo nacheza na vibanda umiza tuuView attachment 1282774
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilifikiri unakuwaga mwehu ukiwa haujasinzia kumbe hadi usingizini[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilifikiri unakuwaga mwehu ukiwa haujasinzia kumbe hadi usingizini[emoji134][emoji134][emoji134]