Church ladyβ£οΈ
Tumeiombea nchi yetu Tanzania
Bwana na atoe majibu ya damu zilizomwagika
Bwana aachilie amani
Bwana aachilie majeshi yake ya ulinzi ambayo ni imara kuliko majeshi yote hapa Duniani.
Bwana aachilie roho ya hekima kwa viongozi na awaondolee ubabe