min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,533
- 128,120
Sawa bwana mafwele😆😆ngoja nifanye kazi yangu
Sawa bwana mafwele😆😆ngoja nifanye kazi yangu
unataka nifukuzwe kanisani sio?Sawa bwana mafwele😆😆
Tuma picha yako bwana mafwele🤣Oya huu uzi huwa unahusu nini kwani maana nimeuvamia tu
Kumbe ndo hivo 🏃 🏃 🏃Tuma picha yako bwana mafwele🤣
Kabisa mkuu😁😁😁zee la 60s hilo
wazee wenyewe hawajiheshimumshamba_hachekwi hauna adabu kwa wazee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunajiheshimu sana mkuu, ila mbele ya ile kitu hutoniona kwenye habari ya heshima mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wazee wenyewe hawajiheshimu
Hongera sana kwa biashara, utafika mbali.Njoo niungishe nipunguze kuhesabu magari😂😂😂😂😂
Hongera sana kwa biashara, utafika mbali.
Pia uwe unamwagia maji ya baraka humo, huo mkoa wakinga ni wachawi mno
HakikaaaTs weekend vibez!! 🔥🔥🔥🔥
Amen😂😂😂😂😂Hongera sana kwa biashara, utafika mbali.
Pia uwe unamwagia maji ya baraka humo, huo mkoa wakinga ni wachawi mno
Wee sema kweli????!!Mimi pia napenda ,now nimetunza hata mdomo hauonekani😅😅😅
Weee ndonini kufuta picha haraka hivo??? Do the needful urudiee hio namie nisafishe macho kwani!😁😁😁 ni asili tu
Mhm nitaandaa ya kwako nzuri😊Weee ndonini kufuta picha haraka hivo??? Do the needful urudiee hio namie nisafishe macho kwani!
Kwamba humu tunatupia nzuri tu jamani? Au ulitumia ki itel batan kama changu 😁!Mhm nitaandaa ya kwako nzuri😊
😁🥴😊😊