Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Sep 18, 2024 #392,521 Taifa La Mungu Tumsifu Yesu Kristo
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Sep 18, 2024 #392,522 Bantu Lady said: Siyo tu kuniambia kafanya na zaidi ya hivyo. Acha kumtajataja babe wangu, atajing'ata. Kwanza Selfika hapo tukuone, yaliyomo yamo? Click to expand... Tajiri habari za asubuhi uishi sana tajiriiiii huna baya sisi watu wa kigamboni tunakusalimia sana
Bantu Lady said: Siyo tu kuniambia kafanya na zaidi ya hivyo. Acha kumtajataja babe wangu, atajing'ata. Kwanza Selfika hapo tukuone, yaliyomo yamo? Click to expand... Tajiri habari za asubuhi uishi sana tajiriiiii huna baya sisi watu wa kigamboni tunakusalimia sana
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Sep 18, 2024 #392,523 Kapeace said: Mbona siku njema ya haraka hivyo unaenda wapi kwenye vikao vya wastaafu?😅😅 kichotara kimetulia acha atuwakilishe Asante Monk na kwako pia siku njema Click to expand... Nakuatakia siku njema ili Kila kitu kiende salama, Kila jema utakaloweka mkono wako lifanikiwe. Au nilitakiwa niseme asubuhi njema? Naenda kupata kajua ka asubuhi huku nasomasoma ka kitabu Kwa pembeni.
Kapeace said: Mbona siku njema ya haraka hivyo unaenda wapi kwenye vikao vya wastaafu?😅😅 kichotara kimetulia acha atuwakilishe Asante Monk na kwako pia siku njema Click to expand... Nakuatakia siku njema ili Kila kitu kiende salama, Kila jema utakaloweka mkono wako lifanikiwe. Au nilitakiwa niseme asubuhi njema? Naenda kupata kajua ka asubuhi huku nasomasoma ka kitabu Kwa pembeni.
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Sep 18, 2024 #392,524 The Monk said: Nakuatakia siku njema ili Kila kitu kuende salama, Kila jema urakaloweka mkono wako lifanikiwe. Au nilitakiwa niseme asubuhi njema? Naenda kupata kajua ka asubuhi huku nasomasoma ka kitabu Kwa pembeni. View attachment 3099346 Click to expand... Ni heri tu nashukuru sana na leo nina siku ndefu kweli kama umejua
The Monk said: Nakuatakia siku njema ili Kila kitu kuende salama, Kila jema urakaloweka mkono wako lifanikiwe. Au nilitakiwa niseme asubuhi njema? Naenda kupata kajua ka asubuhi huku nasomasoma ka kitabu Kwa pembeni. View attachment 3099346 Click to expand... Ni heri tu nashukuru sana na leo nina siku ndefu kweli kama umejua
Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,559 Reaction score 7,919 Sep 18, 2024 #392,525 Bantu Lady said: Siyo tu kuniambia kafanya na zaidi ya hivyo. Acha kumtajataja babe wangu, atajing'ata. Kwanza Selfika hapo tukuone, yaliyomo yamo? Click to expand... Na wewe acha kuwataja taja waume wa wenzio
Bantu Lady said: Siyo tu kuniambia kafanya na zaidi ya hivyo. Acha kumtajataja babe wangu, atajing'ata. Kwanza Selfika hapo tukuone, yaliyomo yamo? Click to expand... Na wewe acha kuwataja taja waume wa wenzio
Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,559 Reaction score 7,919 Sep 18, 2024 #392,526 The Monk said: Nakuatakia siku njema ili Kila kitu kiende salama, Kila jema utakaloweka mkono wako lifanikiwe. Au nilitakiwa niseme asubuhi njema? Naenda kupata kajua ka asubuhi huku nasomasoma ka kitabu Kwa pembeni. View attachment 3099346 Click to expand... Mkuu hivi vitabu ni kwaajili ya matajiri sisi wengine tunasoma namba na siyo vitabu
The Monk said: Nakuatakia siku njema ili Kila kitu kiende salama, Kila jema utakaloweka mkono wako lifanikiwe. Au nilitakiwa niseme asubuhi njema? Naenda kupata kajua ka asubuhi huku nasomasoma ka kitabu Kwa pembeni. View attachment 3099346 Click to expand... Mkuu hivi vitabu ni kwaajili ya matajiri sisi wengine tunasoma namba na siyo vitabu
Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 3,559 Reaction score 7,919 Sep 18, 2024 #392,527 Vincenzo Jr said: Tajiri habari za asubuhi uishi sana tajiriiiii huna baya sisi watu wa kigamboni tunakusalimia sana Click to expand... Tajiri hana baya tajiri
Vincenzo Jr said: Tajiri habari za asubuhi uishi sana tajiriiiii huna baya sisi watu wa kigamboni tunakusalimia sana Click to expand... Tajiri hana baya tajiri
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Sep 18, 2024 #392,528 Bantu Lady said: Twendezetu luv cocastic mimi nawewe tena. Click to expand... Mie naomba niwee davoo wako, nakupigishia misele kokote utakakoo.
Bantu Lady said: Twendezetu luv cocastic mimi nawewe tena. Click to expand... Mie naomba niwee davoo wako, nakupigishia misele kokote utakakoo.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Sep 18, 2024 #392,529 The Monk said: View attachment 3099080 View attachment 3099082 Click to expand... Hapa CONGO?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Sep 18, 2024 #392,530 Nyani Ngabu said: Hapa tunafanyaje na hizi nywele? Ma auntie msaada tafadhalini…. View attachment 3099192 Click to expand... Mpelekee salon, wata msett vizuri kabisaa,
Nyani Ngabu said: Hapa tunafanyaje na hizi nywele? Ma auntie msaada tafadhalini…. View attachment 3099192 Click to expand... Mpelekee salon, wata msett vizuri kabisaa,
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Sep 18, 2024 #392,531 cocastic said: Hapa CONGO? Click to expand... Hapana Rafiki, tulipita Bamako (Mali), hiyo nyingine ni kwetu. Nimepata picha nyingine kwenye mtandao inayoonyesha jina kamili.
cocastic said: Hapa CONGO? Click to expand... Hapana Rafiki, tulipita Bamako (Mali), hiyo nyingine ni kwetu. Nimepata picha nyingine kwenye mtandao inayoonyesha jina kamili.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,696 Reaction score 131,820 Sep 18, 2024 #392,532 Bantu Lady said: 🤣🤣🤣🤣🤣 hili nililijua utalisema tu. Hatupendani. Kila mtu ana wake. Mimi nimekufa nikaoza kwa my babe. Wewe nakuweka kwa dada mkubwa Madame B. Click to expand... Una akili sana bantu😅
Bantu Lady said: 🤣🤣🤣🤣🤣 hili nililijua utalisema tu. Hatupendani. Kila mtu ana wake. Mimi nimekufa nikaoza kwa my babe. Wewe nakuweka kwa dada mkubwa Madame B. Click to expand... Una akili sana bantu😅
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,696 Reaction score 131,820 Sep 18, 2024 #392,533 cocastic said: Mpelekee salon, wata msett vizuri kabisaa, Click to expand... Kabisa, picha sasa😊
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Sep 18, 2024 #392,534 The Monk said: Hapana Rafiki, tulipita Bamako (Mali), hiyo nyingine ni kwetu. Click to expand... Hiyo MOBIDO, nikajuaa Congo,
The Monk said: Hapana Rafiki, tulipita Bamako (Mali), hiyo nyingine ni kwetu. Click to expand... Hiyo MOBIDO, nikajuaa Congo,
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Sep 18, 2024 #392,535 min -me said: Kabisa, picha sasa Click to expand... Kwanzaa, nasikiaa wee ni mu HB, afu gentleman himself. Picha zako nimepitwaaa, wekaa hapa nikuonee, ukiwekaa, na mie nawekaaa.
min -me said: Kabisa, picha sasa Click to expand... Kwanzaa, nasikiaa wee ni mu HB, afu gentleman himself. Picha zako nimepitwaaa, wekaa hapa nikuonee, ukiwekaa, na mie nawekaaa.
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Sep 18, 2024 #392,536 cocastic said: Hiyo MOBIDO, nikajuaa Congo, Click to expand... Modibo Keita International Airport
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,696 Reaction score 131,820 Sep 18, 2024 #392,537 cocastic said: Kwanzaa, nasikiaa wee ni mu HB, afu gentleman himself. Picha zako nimepitwaaa, wekaa hapa nikuonee, ukiwekaa, na mie nawekaaa. Click to expand... 😅😅😅 wamekudanganya
cocastic said: Kwanzaa, nasikiaa wee ni mu HB, afu gentleman himself. Picha zako nimepitwaaa, wekaa hapa nikuonee, ukiwekaa, na mie nawekaaa. Click to expand... 😅😅😅 wamekudanganya
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Sep 18, 2024 #392,538 min -me said: wamekudanganya Click to expand... Em wekaa nionee, km nimedanganywa au lah,
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Sep 18, 2024 #392,539 The Monk said: Modibo Keita International Airport Click to expand... Oooh bas sawaa!!
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,696 Reaction score 131,820 Sep 18, 2024 #392,540 cocastic said: Em wekaa nionee, km nimedanganywa au lah, Click to expand... Wamekudanganya😅😅