Mbona mnatufokea watembea kwa miguu ๐๐๐
Dogo usijaribu ๐๐hapana ww.mbn ujaenda
Kwa watu ujue๐๐Mbona mnatufokea watembea kwa miguu ๐๐๐
Hilo jeep jamani ๐๐๐
Muulize wakili wangu kwanza nilikuwa wapi ata kwambia au muulize tajiri yangu bantu ๐๐hapana ww.mbn ujaenda
Yaani tunafokewa kwa picha. Umeona matajiri hao Odo ake? Soye vikapuku tu.Mbona mnatufokea watembea kwa miguu ๐๐๐
Hilo jeep jamani ๐๐๐
Mnaingilia utu wetu watembea kwa miguu, hii sio sawa kabisaa ๐๐๐Kwa watu ujue๐๐
Wee tajiriii unazo km hizo umezipaki bana ๐Yaani tunafokewa kwa picha. Umeona matajiri hao Odo ake? Soye vikapuku tu.
mm siendi popote nipo.tz sana nikiondoka kaburi la baba yangu atasafisha nani? nipo.sanaDogo usijaribu ๐๐
Huyo banaโฆโฆ. au basi
mm siwez tok hapa tzMuulize wakili wangu kwanza nilikuwa wapi ata kwambia au muulize tajiri yangu bantu ๐๐
panganyika umfwateMwanangu min me Toka aende Spain anaendesha jeep tu na watoto wa kilatini ๐ min -me
Tembea tembea mwanangu usikae sehemu Moja kama maswakimm siwez tok hapa tz
kutembea kwangu ni humu ndani tz ila nje.hapana watu wanauwawa ase mm hapanaTembea tembea mwanangu usikae sehemu Moja kama maswaki
Yesu Alikimbizwa Misri ili asiuwawe na Herode.Luka 15:17 โAlipozingatia moyoni mwake, alisema, Ni watumishi wangapi wa baba yangu wanaokula chakula na kusaza, na mimi hapa ninakufa kwa njaa. 18 Nitaondoka, nitakwenda kwa baba yangu na kumwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; 19 sistahili kuitwa mwana wako tena; nifanye kama mmoja wa watumishi wako. 20 Akaondoka, akaenda kwa babaye. Alipokuwa angali mbali, baba yake alimwona, akamwonea huruma, akaenda mbio akamwangukia shingoni, akambusu sana. 21 Yule mwana akamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sistahili kuitwa mwana wako tena. 22 Lakini baba aliwaambia watumwa wake, Lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike; mtieni na pete kidoleni, na viatu miguuni; 23 mleteni ndama yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi; 24 kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangiliaโ
siondok tz
sasa wakunifukuza hapa tz ni nani?Yesu Alikimbizwa Misri ili asiuwawe na Herode.
Ukipata nafasi ya kuondoka Ondoka Haraka. Cc min -me