Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,856
- 82,008
Upo wapi kati ya maeneo hayaMimi nipo kijiji cha mbali sana na hapo
Kiwawa
Kiwalala
Kilangala
Upo wapi kati ya maeneo hayaMimi nipo kijiji cha mbali sana na hapo
Twende ukachague mwenyewe leo 😊Nimechelewa au uliniwekea??☺️
Hope urassa mambo msalimie Fake P mwambie naupenda sana mguu wake wa bia
Fake P njoo thbitisha hii kauli ya kaka bonge
Watoto wadogo Hawa wasumbufu sana achana nao my wangu 😎😎😥😥 Niliwakataza kunishtua mnataka mniue na presha ndio kufurahi? 😥😥
Anayenisifia mguu muongo . Bora angesifia Tumbo😏
NewalaUpo wapi kati ya maeneo haya
Kiwawa
Kiwalala
Kilangala
Mashallah 😎 fat girl kutoka kusini mwa jangwa la lindi upo mtaani kwangu hapo Kuna nyumba yangu hapoNewala
Hey hey 👋🏾Hello Lizzy
Naomba nikakae, wewe si upo dar🙄Kuna nyumba yangu hapo
Come staiHey hey 👋🏾
Nimepangisha imejaa ila Kuna chumba spesho kwa ajili yako mwanetu 😎😎😎😎Naomba nikakae, wewe si upo dar🙄
Nisaidie, hapa kodi inaishaNimepangisha imejaa ila Kuna chumba spesho kwa ajili yako mwanetu 😎😎😎😎
Nisaidie, hapa kodi inaisha
Usiwaze msaada ushapataNisaidie, hapa kodi inaisha
Nimeweka link hapo mwanangu safisha macho u enjoy washa vpn hapa mwanao natumia wifi no dey vpn 😎😎😎😎Naomba nikakae, wewe si upo dar🙄
Nimeweka link hapo mwanangu safisha macho u enjoy washa vpn hapa mwanao natumia wifi no dey vpn 😎😎😎😎
Imefunguka ? 😎😎😎 Ukikwama nambie nitume nyingineAsante
Mwanaume unakulaje chips? 😹😹😹Lamomy karibu tuleView attachment 3078387
NitakuambiaImefungika ? 😎😎😎 Ukikwama nambie nitume nyingine
Kumekucha uduguu naona shogare la kiga linajichekesha linaita watu wamsaidie 🤣🤣🤣Kumekuchaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]