Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,851
Onyesha tambi lako basi bonge 😹😹Dada Wingaa huyoooo karibu ndani ya nyumba mwanetu selfika tuone yaliyomo yamo Adios amigos supa staa pekee kutoka kusini mwa jangwa la Sahara
Halafu punguza kula michicha inayoota chooni…!! Nimeona picha yako moja lips zimeungua unabugiaga vitu gani vya moto moto?? 🤣🤣🤣