Selfika na JF: Snap it. Show it

Subiri yakupate.. Kuna mdau humu kaibiwa mbwa na ni wakali kinyama... Hivi una habari mbwa ukimwonyesha ngozi ya chatu atakufuata popote? Tena kimya na kama zezeta kabisa
Yaan wameruka ukuta, mbwa nao wamekula bunda tu.
Hao mbwa wana faida gani sasa. Achana nao fuga mbuzi utakunywa mchuzi[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…