mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,083
- 4,250
Uniforwardie basi.Unasoma nini? 🤣🤣🤣
Ukimaliza nishtue nikuone miss selfika wetu 😻😻😻
Uniforwardie basi.Unasoma nini? 🤣🤣🤣
Ukimaliza nishtue nikuone miss selfika wetu 😻😻😻
🤣🤣🤣🤣 Nyamwi umenichekesha sana ujue.!!Naona wivu....
Pls sipendi ui nteract na lamami
Hata na mm msambwanda nnao babangu😍
Wifi tuma hapa na wengine tusafishe machoN
Nitume hapa au pm babangu..?
Sister merry Tena wa parokia ya wapi😀🤣🤣🤣🤣 Nyamwi umenichekesha sana ujue.!!
Huyo raraa mi namzingua bana, huyo wako mbona nilishakukaribisha wifi..!!
Mimi niko single humu, sister Merry Sina madhara kabisaa.!! Ondoa hofu..!
Na wewe raraa reree acha kumkwaza wifi 😂😂😂
😀😀😀Masaa 4 tu nsi-surrender nkaita mama Moja pale msimbazi yuko powa nikampanga vzr simu zikapigwa nikatoka
Kaingia mitini 😂😂Uniforwardie basi.
Parokia y’a mtoto Yesu 😂😂😂Sister merry Tena wa parokia ya wapi😀
Alafu kubadili badili I'd tu muoneParokia y’a mtoto Yesu 😂😂😂
Afadhari...mana nilianza kukuchukia🤣🤣🤣🤣🤣 Nyamwi umenichekesha sana ujue.!!
Huyo raraa mi namzingua bana, huyo wako mbona nilishakukaribisha wifi..!!
Mimi niko single humu, sister Merry Sina madhara kabisaa.!! Ondoa hofu..!
Na wewe raraa reree acha kumkwaza wifi 😂😂😂
😂😂Huu mwili wa kagame mtaishia kunicheka
Weee 😂😂😂Alafu kubadili badili I'd tu muone
SawaWeee 😂😂😂
Id zangu mbili hii na labella.
Ile hata siitumii toka nimerudishiwa hii..
Ile nikiingia basi kuna mtu labda nachat naye.
Wala usinichukie huyo raraa wako na atakayemlia mingo nakushtua we tulia 😂😂😂Afadhari...mana nilianza kukuchukia🤣
Nasubiri hata ungekuwa wa kijogoo 😂😂😂😂😂Huu mwili wa kagame mtaishia kunicheka
Tabia mbaya hiyo 😂😂😂Akiona raraa reree inatosha
Naogopa husda za waja😁
Wii picha nikuone basi 😻😻Sawa