Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,948
🤣🤣🤣🤣 Nyamwi umenichekesha sana ujue.!!Naona wivu....
Pls sipendi ui nteract na lamami
Hata na mm msambwanda nnao babangu😍
Huyo raraa mi namzingua bana, huyo wako mbona nilishakukaribisha wifi..!!
Mimi niko single humu, sister Merry Sina madhara kabisaa.!! Ondoa hofu..!
Na wewe raraa reree acha kumkwaza wifi 😂😂😂