Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,075
Wabheja sana sis sitoki hapaaa 🙇🙇🙇🙇Sawa ccy kaa hapo hapo
Wabheja sana sis sitoki hapaaa 🙇🙇🙇🙇Sawa ccy kaa hapo hapo
Mahondaw haya ccy nibless pia View attachment 3069132
NitafuteMahondaw haya ccy nibless pia View attachment 3069132
😁😁😁Uwiiiiiiiiiih😍😍 Anakojoa pazuri...
SawaNitafute
Bado ipo sis nadhani mtandaoCcy mtandao wangu unazingua Niko uku kijijini kwetu.
Ni bless tena plz 😔😔😔
Marahabaaa!
Shika mwenyeweeee!
Sanaa😍😍 Anakojoa pazuri...
Selfika usikae mbaliSanaa
Huko kama huku sis hapa nipo nje juu ya kichuguu nikitikisika tu network inakata😁Weeeeeh sema bado mshep unaonekana.
Mambo ya baibui ccy🔥🔥🔥🔥🔥
Mtandao unazingua huku hadi tukae nje na nje kuna fisi.
Uuuhuuuhuuuh😁😁Sanaa
😁😁😁😁😁Hatari SanaHuko kama huku sis hapa nipo nje juu ya kichuguu nikitikisika tu network inakata😁
Santo sana sis
Usijareee kabesaaa sis soon natia maguu hukooo nimemiss vibe la Mwanza wee jiandae kuchagua utakavyo!😁😁😁😁😁Hatari Sana
Uje Mwanza ccy ukanifanyie mashopingareeee ma out na ma boat cruise.
Summer ndo hii inakwendraaaaaa.