Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiki kiatu Kuna dada mwingine naye alivyokiona tu
Akakipenda sana akataka nimpe
Sema ndio kikubwa

Kumbe ndio kinaitwa hivyo?πŸ˜‚
Mie mshamba hata sijui
Mie sijui,Kuna dogo anauza viatu mtumba,anawahi saa 10 karume kuchagua,alivyokiona akanichukulia nikampa 10 tu.
Hiyo boyfriend shoes ya moto nkamu 😍
 
Unyama huo mwaisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo boyfriend shoe yenyewe.!!
 
Kweli tena
Mimi wa vijinini milimani huko
Mjini daslam nimekuja juzi tu
Mambo ya kuvaa kwa kweli sijui hadi sasahivi

Ila angalau Nimepata exposure nimejifunza vitu vingi muhimu
Kiliko hata matajiri uchwara wanaojudai born in town wakati ni makapuku tu hata hela hawazijui
Nkamu unapenda kujifanya wa kuja kumbe unatuchora.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…