Wii mbavu zinauma mwenzio π€£π€£π€£π€£
JF itakuwa ya vocha threads za muhimu hazitokuwa na wachangiaji
Nasikia mpk Facebook wamesikia taarifa wamejoin wamesikia JF kuna vocha za bure
Anatumia jina lingine ila ni yeye ana ids nyingi huyo ila mwandiko wake tu utamjua π€£π€£π€£
We nenda wala hutumii nguvu kumjua, kawawekea namba za kila mtandao za uongo