Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 11, 2024 #389,181 Ningekuwa nishadaka vocha nyingi sana maana nimebobea kwenye sekta hiyo ya kuwahi Ngoja nikawapore matajiri vocha Wasije kujinyonga bure Lamomy said: Ngoja nikutumie link ya zamani unakosa uhondo πππ Click to expand...
Ningekuwa nishadaka vocha nyingi sana maana nimebobea kwenye sekta hiyo ya kuwahi Ngoja nikawapore matajiri vocha Wasije kujinyonga bure Lamomy said: Ngoja nikutumie link ya zamani unakosa uhondo πππ Click to expand...
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,182 Saint Anne said: Nyuma mwiko Hii yanga ni man city tupuπ₯π₯π₯ Click to expand... Ya moto sana
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,101 Aug 11, 2024 #389,183 Saint Anne said: Hii app mpya mnatumiaje wenzangu Mimi nashindwa kuona nyuzi kabisa Yaani ni mateso. Aisee Kivumbi na jasho Matajiri watoana roho kwa kugombania vochaπππππππ Kumbe hadi matajiri Wana hizi tabia za kuvamia vocha Click to expand... Huko ndio utajua umuhimu wa fake ID
Saint Anne said: Hii app mpya mnatumiaje wenzangu Mimi nashindwa kuona nyuzi kabisa Yaani ni mateso. Aisee Kivumbi na jasho Matajiri watoana roho kwa kugombania vochaπππππππ Kumbe hadi matajiri Wana hizi tabia za kuvamia vocha Click to expand... Huko ndio utajua umuhimu wa fake ID
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Aug 11, 2024 #389,184 Lamomy said: πππ tulikuwa tunawazoom wakongwe Click to expand... Takatakaπππ
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,185 Saint Anne said: Hee Jf imetuletea watu version ya vipipa toka lini ππππ Akiyanani Yanga bingwaπππ₯π₯ Click to expand... π€£π€£π€£ haujuiiii?? Mtafute coca akupashe kuna kontena jipya la vipipa
Saint Anne said: Hee Jf imetuletea watu version ya vipipa toka lini ππππ Akiyanani Yanga bingwaπππ₯π₯ Click to expand... π€£π€£π€£ haujuiiii?? Mtafute coca akupashe kuna kontena jipya la vipipa
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,186 Saint Anne said: Ningekuwa nishadaka vocha nyingi sana maana nimebobea kwenye sekta hiyo ya kuwahi Ngoja nikawapore matajiri vocha Wasije kujinyonga bure Click to expand... πππ huoni uzi umepoa matajiri wapo huko macho kodo vocha zisiwapite
Saint Anne said: Ningekuwa nishadaka vocha nyingi sana maana nimebobea kwenye sekta hiyo ya kuwahi Ngoja nikawapore matajiri vocha Wasije kujinyonga bure Click to expand... πππ huoni uzi umepoa matajiri wapo huko macho kodo vocha zisiwapite
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,101 Aug 11, 2024 #389,187 Lamomy said: πππ huoni uzi umepoa matajiri wapi huko macho kodo vocha zisiwapite Click to expand... Kwanza inatakiwa uwongozi wa Jf ipige marufuku kugawa vocha watu wanashindwa hata kuchangia nyuzi nyingine ππ
Lamomy said: πππ huoni uzi umepoa matajiri wapi huko macho kodo vocha zisiwapite Click to expand... Kwanza inatakiwa uwongozi wa Jf ipige marufuku kugawa vocha watu wanashindwa hata kuchangia nyuzi nyingine ππ
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,188 Nyamwi255 said: Takatakaπππ Click to expand... πππ achana nao
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 11, 2024 #389,189 Kumbe ndio maanaπππππππ Chaaa Jamani Kuliko vocha za sandakalawe Heri kuzingusha ndizi aiseee Tajiri wanasubiri kupambania kombe la vocha No wonder wanauliza keki za elfu7 Labda bumunda. Ni huzuni. Lamomy said: πππ huoni uzi umepoa matajiri wapi huko macho kodo vocha zisiwapite Click to expand...
Kumbe ndio maanaπππππππ Chaaa Jamani Kuliko vocha za sandakalawe Heri kuzingusha ndizi aiseee Tajiri wanasubiri kupambania kombe la vocha No wonder wanauliza keki za elfu7 Labda bumunda. Ni huzuni. Lamomy said: πππ huoni uzi umepoa matajiri wapi huko macho kodo vocha zisiwapite Click to expand...
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,190 Nuzulati said: Kwanza inatakiwa uwongozi wa Jf ipige marufuku kugawa vocha watu wanashindwa hata kuchangia nyuzi nyingine ππ Click to expand... π€£π€£π€£π€£ uzi uliunganishwa nasikia walipiga kelele utenganishwe ili wazione vocha
Nuzulati said: Kwanza inatakiwa uwongozi wa Jf ipige marufuku kugawa vocha watu wanashindwa hata kuchangia nyuzi nyingine ππ Click to expand... π€£π€£π€£π€£ uzi uliunganishwa nasikia walipiga kelele utenganishwe ili wazione vocha
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 11, 2024 #389,191 Lamomy said: π€£π€£π€£ haujuiiii?? Mtafute coca akupashe kuna kontena jipya la vipipa Click to expand... Yesu wangu Mmenikumbusha kipipa yule kimbo kwenye saluni ya mama kimbo
Lamomy said: π€£π€£π€£ haujuiiii?? Mtafute coca akupashe kuna kontena jipya la vipipa Click to expand... Yesu wangu Mmenikumbusha kipipa yule kimbo kwenye saluni ya mama kimbo
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,101 Aug 11, 2024 #389,192 Lamomy said: π€£π€£π€£π€£ uzi uliunganishwa nasikia walipiga kelele utenganishwe ili wazione vocha Click to expand... Sema kweli mimi nasemaga kila siku humu wengi wanakufa na stress za Maishaπππ
Lamomy said: π€£π€£π€£π€£ uzi uliunganishwa nasikia walipiga kelele utenganishwe ili wazione vocha Click to expand... Sema kweli mimi nasemaga kila siku humu wengi wanakufa na stress za Maishaπππ
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,193 Saint Anne said: Kumbe ndio maanaπππππππ Chaaa Jamani Kuliko vocha za sandakalawe Heri kuzingusha ndizi aiseee Tajiri wanasubiri kupambania kombe la vocha No wonder wanauliza keki za elfu7 Labda bumunda. Ni huzuni. Click to expand... Nuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£
Saint Anne said: Kumbe ndio maanaπππππππ Chaaa Jamani Kuliko vocha za sandakalawe Heri kuzingusha ndizi aiseee Tajiri wanasubiri kupambania kombe la vocha No wonder wanauliza keki za elfu7 Labda bumunda. Ni huzuni. Click to expand... Nuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 11, 2024 #389,194 Nuzulati said: Huko ndio utajua umuhimu wa fake ID Click to expand... Mimi uzuri naenda nayo hii hii Nikasambaratishe mikeka ya matajiri uchwara
Nuzulati said: Huko ndio utajua umuhimu wa fake ID Click to expand... Mimi uzuri naenda nayo hii hii Nikasambaratishe mikeka ya matajiri uchwara
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,195 Saint Anne said: Yesu wangu Mmenikumbusha kipipa yule kimbo kwenye saluni ya mama kimbo Click to expand... π€£π€£π€£ sasa tumefikiwa hivyo
Saint Anne said: Yesu wangu Mmenikumbusha kipipa yule kimbo kwenye saluni ya mama kimbo Click to expand... π€£π€£π€£ sasa tumefikiwa hivyo
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,196 Nuzulati said: Sema kweli mimi nasemaga kila siku humu wengi wanakufa na stress za Maishaπππ Click to expand... Unabishana na mtu kumbe hajala stress zote anakumalizia wewe π€£π€£π€£
Nuzulati said: Sema kweli mimi nasemaga kila siku humu wengi wanakufa na stress za Maishaπππ Click to expand... Unabishana na mtu kumbe hajala stress zote anakumalizia wewe π€£π€£π€£
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Aug 11, 2024 #389,197 Lamomy said: Nuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Mnataka matajiri wakose bando washindwe kuingia Watatutambiaje sasa Acha wapate pate vocha Hali ni ngumu sana
Lamomy said: Nuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Mnataka matajiri wakose bando washindwe kuingia Watatutambiaje sasa Acha wapate pate vocha Hali ni ngumu sana
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,198 Saint Anne said: Mnataka matajiri wakose bando washindwe kuingia Watatutambiaje sasa Acha wapate pate vocha Hali ni ngumu sana Click to expand... Wapate bando la kuja kututukana maskini π€£π€£π€£
Saint Anne said: Mnataka matajiri wakose bando washindwe kuingia Watatutambiaje sasa Acha wapate pate vocha Hali ni ngumu sana Click to expand... Wapate bando la kuja kututukana maskini π€£π€£π€£
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,101 Aug 11, 2024 #389,199 Lamomy said: Nuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Tena wafanye haraka tofauti na hapo Jf inaenda kufa kibudu πππ
Lamomy said: Nuzu kasema mods wapiga marufuku eti nyuzi zinakosa wachangiaji watu wako busy na vocha π€£π€£π€£π€£ Click to expand... Tena wafanye haraka tofauti na hapo Jf inaenda kufa kibudu πππ
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,101 Aug 11, 2024 #389,200 Nuzulati said: Tena wafanye haraka tofauti na hapo Jf inaenda kufa kibudu πππ Click to expand... Wii mbavu zinauma mwenzio π€£π€£π€£π€£ JF itakuwa ya vocha threads za muhimu hazitokuwa na wachangiaji Nasikia mpk Facebook wamesikia taarifa wamejoin wamesikia JF kuna vocha za bure
Nuzulati said: Tena wafanye haraka tofauti na hapo Jf inaenda kufa kibudu πππ Click to expand... Wii mbavu zinauma mwenzio π€£π€£π€£π€£ JF itakuwa ya vocha threads za muhimu hazitokuwa na wachangiaji Nasikia mpk Facebook wamesikia taarifa wamejoin wamesikia JF kuna vocha za bure