Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ngoja basi aseme keki unaenda wapi😂😂😂We mbona mgumu kuelewa?
Au kitimoto ulichokula mchana kinakupeleka mbio?
Mimi sihusiani na huyo mtu sasa aconfirm ananijua?? Au tunajuana??
Ngoja basi aseme keki unaenda wapi😂😂😂We mbona mgumu kuelewa?
Au kitimoto ulichokula mchana kinakupeleka mbio?
Mimi sihusiani na huyo mtu sasa aconfirm ananijua?? Au tunajuana??
Mtajie mtu wako aache kudandia watu tusiohusika
Tuliza wenge, alafu kuwa normal.Mtajie mtu wako aache kudandia watu tusiohusika
Ni wewe tu NkamuMtajie mtu wako aache kudandia watu tusiohusika
🤣😁😁😁😁😁😁😁😁😁🤣🤣😁Mwamba leo kila manzi anamkataa...
Mi ningejipiga kudu...
Sitaki drama mimi na wewe hatuna mahusiano, sasa huyo saint Anne kuniita kwenye cake zenu inanihusu nini??Tuliza wenge, alafu kuwa normal.
Rejea tulichozungumza jana alafu potezea
Basi Nkamu tumeacha😂😂Sitaki drama mimi na wewe hatuna mahusiano, sasa huyo saint Anne kuniita kwenye cake zenu inanihusu nini??
Wewe mtajie muhusika ili hizi drama zife
Mm naamini umeelewa, rejea tena. Alafu relax acha panicSitaki drama mimi na wewe hatuna mahusiano, sasa huyo saint Anne kuniita kwenye cake zenu inanihusu nini??
Wewe mtajie muhusika ili hizi drama zife
Jamaa akaoge mikojo sio kwa kuabika kiasi hiki!!Oyaa and 100 others mwanetu anaweka picha na kufuta 🤣😁😁😁
Wewe mwanamke ungekuwa karibu ningekupiga kwenzi.!!Ni wewe tu Nkamu
Hakuna mwingine
Yanga bingwa 💚💛💚 yellow yellow nationalDaimaaa mbeleeeee 💚💚💛💛🖤🖤💪💪
Kila la kheri Yangaaa💚 💚💛💛🖤🖤!🕺🕺🕺
Nipo nataka kuirudia hii hapa nimuone mdauJamaa akaoge mikojo sio kwa kuabika kiasi hiki!!
Wala sijapanic ila nataka umpe maelekezo y’a kueleweka huyo mpishi wa cake aache kunihusisha kwenye mambo yenu.!!Mm naamini umeelewa, rejea tena. Alafu relax acha panic
Khaaa Nkamu😂😂😂😂😂Wewe mwanamke ungekuwa karibu ningekupiga kwenzi.!!
Una masikio gani yasiyosikia??
Mimi sina uhusiano km unataka nikuungishe cake sema.!! Haya tengeneza y’a elfu 50 wapelekee watoto yatima walio karibu nawe.!!
Niletee bill yangu nikulipe.!
Umepanic bure tu, nilishampa maelezoWala sijapanic ila nataka umpe maelekezo y’a kueleweka huyo mpishi wa cake aache kunihusisha kwenye mambo yenu.!!
Noma sana mkuu...Nipo nataka kuirudia hii hapa in
Hii ndio ile inatoaga mrenda kama bamiaView attachment 3067033
Msione Wazee wanaendelea kuzalisha wakiwa na miaka 85, Siri ipo hapa 😜🤗
Hello Sunday 🥂