ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Unazuga tu! Vocha ushachukua wewe😉Haya wale wazee wa tigo ofa hii kutoka kwa brother hapa
Unazuga tu! Vocha ushachukua wewe😉Haya wale wazee wa tigo ofa hii kutoka kwa brother hapa
Embu tuma yako min akee nikuoneSelfika mnachati badala ya picha🙄
Uliniona ukanichukulia poa situmi tena😁😁😁Embu tuma yako min akee nikuone
Wee! Tatizo ni mweupe kama papai☺️🙌Uliniona ukanichukulia poa situmi tena😁😁😁
Hahhahaha uliangalia vibaya panya buku wewe.Wee! Tatizo ni mweupe kama papai☺️🙌
picha umepiga mchana mbona unaweka saa hizi?
Weee! Subiri kesho nikupigie mbona rahisi tu kuotea namba 1 ya mwishoMimi natumia airtel no zangu
🤣😁😁picha umepiga mchana mbona unaweka saa hizi?
Nachoka kila siku kukufundisha kuandika😎Wazee na picha wapi na wap kijana😆
Njoo pm nikupe ya mwishoWeee! Subiri kesho nikupigie mbona rahisi tu kuotea namba 1 ya mwisho
Futa hii nimerekebisha tayari😁😁Nachoka kila siku kukufundisha kuandika😎
Enzo namba ile edit futa ile ya mwisho zibaki 8 wasije kukuteka buree
Subiri nikufundishe utaalamu! Comment sifuti lakini angalia utaona nimekurekebishiaFuta hii nimerekebisha tayari😁😁
Nimefuta yote aiseee Kuna mtu kanipigia hapa 😂😁🤣😂 wewe demu uliye bahatisha no yangu wewe 😂😁Enzo namba ile edit futa ile ya mwisho zibaki 8 wasije kukuteka buree
Tajiri usitoe maelezo mengi sanaaaa, pumzikaNiliiingia Dukani angalia shelf zote sioni Konyagi nikaagiza vocha tuu,, na simu ina kifirushi cha mwezi Combo.. ingia selfika nataka niweke picha nakutana nayo.
Chai🙌😂Nimefuta yote aiseee Kuna mtu kanipigia hapa 😂😁🤣😂 wewe demu uliye bahatisha no yangu wewe 😂😁
Hana baya tajiri vijana wanamsumbuaTajiri usitoe maelezo mengi sanaaaa, pumzika
Nioneshe screenshot?Chai🙌😂