Team yake nao hawazijui wamebaki kutoa maneno ya shombo na chuki kibao.!! π€£π€£π€£
Nkamu wewe mjanja ila unaplay low key kuwafanya wajuaji wajione wajinga, sasa zile dollar kashtuka vile siku nikijizima data nimuonyeshe ndinga ninayosukuma si ndo atatafuta yard aje kujifariji πππ
Jf kuna watu wana stress, ndiomana kuna siku kantry alisema umezidi kujidogosha hawa inatakiwa uwaonyeshe advertise nikapotezea.!! Kwa pipo za humu na chuki zao wanaweza kukutupia hata jini makata πππ