Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,213
Ana duka la vyakula Kariakoo huyumin -me kumbe wewe ni tajiri la matajiri.
Ninga umbeke
Anakwea nazi halafu akifika juu anapiga kelele ya utamuπ
Ahaaaa sio mbaya si ndio anautafuta utajiriAna duka la vyakula Kariakoo huyu
Kwema karibu kigambonino tupate supu ya kongoroMambo tajiri
π Mwenye D mbili ndio ataelewa
Ni tayari tajiri huyuAhaaaa sio mbaya si ndio anautafuta utajiri
Tajiri la kigamboni sioNi tayari tajiri huyu
Kupanda mnazi nani kakufundisha hizo lugha?π Mwenye D mbili ndio ataelewa
Huyu wa daslamu nzimaTajiri la kigamboni sio
Hatari mzee...Mkuu and 100 others Hawa vijana wanachekesha sana ππππππ
Kaka nilikuwa namtoa kamasi huyo mshamba wa dollar ila nishampuuza nimeona chuki zimemjaa na masungura tope wenzie πΉπΉTulikubaliana mpaka December hakuna ban. Hata July nadhani hatukuvuka. Na August hii tena tunatafuta nyingine? Yaani wewe kha! πππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
πππππππ Anachunguza picha za kaka bonge hapa ππHatari mzee...
Tajiri wa dolari yupo wapi?
Hana mbambamba mhesh. Mwenyewe(in chuga voice)Fake P mtu mstaarabu sana yaani sana ππ ndio maana nampenda huyu
Nkamu cake zako nzuri za viwango πTupo DSM na MBEYA mjini
Karibuni sana mdogo wenu nisife njaa