πππ Huyu leo kavurugwa anaanza kuongea vitu hata havijui.!Hapa anayelazimisha ni nani?
Kati ya wewe mwenye utetezi wa gugo au aliyeshika pesa halisi?
Hivi unajua unachekesha watuπππ
Wacha weeNiache kumgusa mke wangu nimguse anonymous πππππ Mali ya umma vipi
Nkamu huyu mlugaluga ni wa kuachana naye kashaanza kupanicMuombe lamomy akupe angalau ushike tu
Siyo dhambi ukazijua
Atakupa tu ushike angalau
Haiwezekani nitalia sanaMkifungwa itakua poa sana.
Wakuache babiee j2 hii wasikuchosheraraa reree usicheke ndugu yangu, ile pic niliyokudediketi imeumiza watu huku.!! πΉ
πππππKuna watu wamepandisha sukariBadala ya kutupia picha mmeanza kutupiana manenoπ€£
Kwan wao inawauma nini? πΉπΉWakuache babiee j2 hii wasikuchoshe
Wameona nafaidi dabo dabo π mtoto mkali na πΈKwan wao inawauma nini? πΉπΉ
Wanamind nini?
HahahahaHakunaga dollar nyeupe kama karatasi isiyo na muhuri la mueve puta Cc 100 others
and 100 others
Cc mshamba_mwingine
Cc ephen_ πππππ€£π€£π€£πππππππ Fake P
View: https://youtu.be/Yq_G_nmR3XI?si=HdAxsGBXLG10uJAr
Watakuloga aiseee.!! πΉπΉWameona nafaidi dabo dabo π mtoto mkali na πΈ
Mi mwenyewe mzito πWatakuloga aiseee.!! πΉπΉ
Igweeeeeeeee πMi mwenyewe mzito π
πππ Ngoja nipambane
ChaiMkuu hadi picha ya dollar za mtu inakuuma roho?
Hizo zake ni mpya bado hazijapita mikononi sana
Dah! Unaniita kwenye picha ya mipesa wakati sina hata 50 mbovuπ₯ΉHii sio sawa na dollar nyeupee Cc ephen_ View attachment 3061082