Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,210
Sio kweli labda wewe Mimi mtoto wa kariakoo najua fake na ojii wewe ujui kituπππKwa comment yako nadhani huzijui
Rudi nkamu tupambane mpk kieleweke, uzuri ushaijua ni rahisi kuishi nayo.!Kwa kweli
Ila nitarudi
Kariakoo kuna mzunguko wa pesa mkubwa sana
Hata akili inachangamka ukiwa huko
Basi pambana na hali yakoMwenyewe siwataki ninao Sali nao huku,
Hazijui yupo kujifariji huruma tupuKwa comment yako nadhani huzijui
Kama siyo kweli basi ni chuki tu πSio kweli πππ
Hakunaga bahati ni kujituma mkuu, ukiamua hata wewe unaweza.!Watu mna bahati zenu duniani. Pesa ipo, biashara inaenda, pisi ya kwendraa, sijui umebakiza niniπππ
Mimi mtoto wa shamba niliyepita KariakooSio kweli labda wewe Mimi mtoto wa kariakoo najua fake na ojii wewe ujui kituπππ
Huyo ana chuki mpk anashindwa kuzificha anaamua kujidhalilisha, halafu wanaozijua wanamcheka.!!Kama siyo kweli basi ni chuki tu π
Ni aidha huzijui
Au unazijua ila umeamua tu ubishe
Tutafute hela Mkuu, tusiweke makasiriko kwenye picha za dollari za watuπ
Hakunaga dollar nyeupe kama karatasi isiyo na muhuri la mueve puta Cc 100 others
and 100 others
Cc mshamba_mwingine
Cc ephen_ πππππ€£π€£π€£πππππππ Fake P
View: https://youtu.be/Yq_G_nmR3XI?si=HdAxsGBXLG10uJAr
Kariakoo ipi πππ€£ππππKwa kweli
Ila nitarudi
Kariakoo kuna mzunguko wa pesa mkubwa sana
Hata akili inachangamka ukiwa huko
ππ€£πππKuna utetezi wa dollar hukuSamaleko.. Shalom . Notification kwa mbali sana umenishtua
Nkamu nitafanya hivyo napenda sana cakeItabidi nikupe ofa siku moja
Ukiwa free niambie
Sasa nimchukie mtu nisiye mjua Mimi nimetoa maoni tu labda wewe ndio unaona chuki ππ€£Kama siyo kweli basi ni chuki tu π
Ni aidha huzijui
Au unazijua ila umeamua tu ubishe
Tutafute hela Mkuu, tusiweke makasiriko kwenye picha za dollari za watuπ
Hii hii ya DSMKariakoo ipi πππ€£ππππ
πππ Basi ndio maana ni mshamba wewe ushamba mwiko kwa mtoto wa kariakoo dollar nyeupe πMimi mtoto wa shamba niliyepita Kariakoo
Wewe kubisha kwamba hizo zake siyo dolar kwa msaada wa picha ya Google,na sababu unayotoa ni rangi
Reference yako ni dollar za gugo
Ni dhahiri kweli huzijui
Atakuchosha huyo waiter wa hotel hana chochote anachokijua hapo.!Hii hii ya DSM
Hebu tuambie na wewe ni Kariakoo ipi umepita ya kuangalia dola feki kwa rangi
Ya mbeyaHii hii ya DSM
Hebu tuambie na wewe ni Kariakoo ipi umepita ya kuangalia dola feki kwa rangi
Una chuki tena iliopitiliza mpk inatafuna maisha yako ya kawaida.!Sasa nimchukie mtu nisiye mjua Mimi nimetoa maoni tu labda wewe ndio unaona chuki ππ€£
Ndio maana aiseeYa mbeya
Hadi fake tuzitafute mkuu tusiache kuzitafuta tuzipate tupige nazo pichaNdio maana aisee
Mbeya na dollar wapi na wapi.
Tuzitafute Mkuu,kuzimiliki siyo dhambi