Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG-20240718-WA0789.jpg
 
Na hapo ni pa kawaida ukiwa Four Ways yapo maeneo ni copy n paste ya mitaa fulani ya Barcelona...
Kuna wakati niliwahi kufikiri, hata Tanzania tungechelewa kudai Uhuru huenda wangejenga hivyo baadhi ya Majiji yetu.

Maana miaka kadhaa baada ya Uhuru, Kuna wakati kama Nchi tulikula sana Msoto wa Kimaisha na Kimaendeleo
 
Akili zetu zimedumaa kwa mali tulizonazo tunaweza kujenga hata kipindi hiki..
Mitambo ya Ujenzi kuingiza Tanzania ni kama unaleta kitu Peponi au magari ya Ujenzi kwa hiyo gharama za Ujenzi zinakua juu kwa sababu ya kodi kubwa kwenye vifaa wakati bado tupo kwenye kuhamasishana kuwa na vyoo bora...
Tanzania ina mali sawa na SA ni vile sisi ni Wadumavu na hatupendi maisha bora kwa wote..
 
Back
Top Bottom