Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,484
- 35,638
Aiseeeee,💕😍Basi usilie sana. Kwa heshima yako blaza.
Hubby akiniona huku sina ndoa,jiandae kunisitiri we mlozi.
NB:Na hiyo mkagoogle basiView attachment 1222026
Aiseeeee,💕😍Basi usilie sana. Kwa heshima yako blaza.
Hubby akiniona huku sina ndoa,jiandae kunisitiri we mlozi.
NB:Na hiyo mkagoogle basiView attachment 1222026
Kwa bei ya Sasa hadi Usajili ni shilingi ngapi Kwa hela zetu za Madafu?Zilifika Daslm hizo hiyo safari..
Naunga mkono hoja yakoAkili zetu zimedumaa kwa mali tulizonazo tunaweza kujenga hata kipindi hiki..
Mitambo ya Ujenzi kuingiza Tanzania ni kama unaleta kitu Peponi au magari ya Ujenzi kwa hiyo gharama za Ujenzi zinakua juu kwa sababu ya kodi kubwa kwenye vifaa wakati bado tupo kwenye kuhamasishana kuwa na vyoo bora...
Tanzania ina mali sawa na SA ni vile sisi ni Wadumavu na hatupendi maisha bora kwa wote..
Nasubiri birthday yangu mwakani, Mungu akitupa Uzima, Wajukuu waninunulie Keki ya hivyo Babu yao 🤗Good morning
Hizo zilichukuliwa mpya sema zilizotumika zinafika kwa 75m kuendelea mpaka 80m za kuanzia 2017 model mpaka 2020 model Wildtruck au Ranger HR...kwa auto na manual inapungua kidogo maana Manual zipo bei ndogo kuliko Auto huko kwenye masoko ya magari..Kwa bei ya Sasa hadi Usajili ni shilingi ngapi Kwa hela zetu za Madafu?
Kupanga sio Matumizi, huenda Kuna Siku upepo wa hela ukanitembelea 🤗
Shukrani Kwa info Mkuu 🙏🙏Hizo zilichukuliwa mpya sema zilizotumika zinafika kwa 75m kuendelea mpaka 80m za kuanzia 2017 model mpaka 2020 model Wildtruck au Ranger HR...kwa auto na manual inapungua kidogo maana Manual zipo bei ndogo kuliko Auto huko kwenye masoko ya magari..
Babu wewe yako hiiNasubiri birthday yangu mwakani, Mungu akitupa Uzima, Wajukuu waninunulie Keki ya hivyo Babu yao 🤗
Good morning Saint Anne
Hiyo ni nini Mjukuu?Mniungishe mdogo wenu nisife njaa
Ndiyo inauzwa shilingi ngapi ya hivyo?Babu wewe yako hii
Good morning
InshaAllah Mungu atufikishe mwakani
40 tuNdiyo inauzwa shilingi ngapi ya hivyo?
Nataka niwaambie Wajukuu wajiandae mapema kuninunulia Babu yao 🤗
SafiiiiiGood morning
Mzur jf nzima mpka moderate hakuna mzuri kama ww
Mkuu hii comment yako mmmh kuna wazuri humu kunizidi😁Mzur jf nzima mpka moderate hakuna mzuri kama ww
Ni chocolate cakeHiyo ni nini Mjukuu?
Polee babu!😕Ile nyumba sijui umehama Mjukuu, nimepiga hodi hadi amekuja kuniondoa balozi wa nyumba 10 😜🙌
Nami pia niliona hivyo, maana alianza kuniuliza maswali mengi yenye nongwa ndani yake...Polee babu!😕
Nilikimbia markiti kununua vikorokoro kwaajili ya maakuli. Yule balozi ana nongwa sana, aliniona kabisa nikimuachia maagizo mtoto wa jirani kuwa anipokelee mgeni wangu kabla sijatoka.🥴
Nitakuja kuonja Siku Moja 🤗Ni chocolate cake